MTUME KIJANA BASHANDO KUIPELEKA INJILI KWA MATAIFA




Jumamosi ya wiki hii mtume kijana atakuwa tasuba pamoja 

na wamamuziki wa bongo fleva tasuba bagoyo. Lengo kubwa 


la kwenda huko ni kuwafikishia injili kwa njia ya hip hop

                 

Mwanamuziki wa gosple Hip hop Martin Bashando (maarufu kama Mtume kijana) akiwa na mwana hip hop wa Bongo flava prof Jay
                           

Martin Bashando akiagana na prof Jay baada ya maongezi



Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA