KAULI YA JOSE MOURINHO KUHUSU TUZO ZA BALON D'OR

ween


Unaikumbuka kauli ya kocha wa ArsenalArsene Wenger aliyoitoa kuhusu kupinga kutolewa kwa tuzo za mchezaji bora wa dunia za Ballon d’Or?
Kauli yake hiyo imeonekana kupewa uzito na sasa ni zamu ya kocha wa ChelseaJose Mourinho ambaye ameungana na kauli ya Wenger na kusema yupo sahihi na kwamba lengo la soka linabadilika kutoka timu za soka hadi kwa mchezaji binafsi.
Tuzo hiyo inaonekana kutawaliwa na wachezaji wawili Lionel Messi pamoja na Cristiano Ronaldo toka mwaka 2008 na mwaka huu tena imekwenda kwa Ronaldo ikiwa ni mwaka wa pili mfululizo baada ya kufunga magoli 52 katika mechi 43 alizokuwa amecheza.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA