AJALI: BASI LA JORDANI LAUA MMOJA 25 WAJERUHIWA

Basi la abiria la Jordani baada ya kupinduka wilayani Nzega leo.
Mashuhuda wa ajali hiyo wakiwa eneo la tukio.
Marehemu katika ajali hiyo akiwa amelaliwa na basi hilo.

MTU mmoja amefariki dunia huku 25 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la Jordan lililopinduka leo wilayani Nzega, mkoani Tabora.
Basi hilo lilikuwa likitokea mkoani Mwanza kwenda Arusha na limepinduka majira ya saa nne asubuhi.


Abiria akiwa amejeruhiwa vibaya

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA