AUWAWA KWA KUCHOMWA KISU BAADA YA KUKUTWA NA MKE WA MTU


Kijana mmoja kwa jina ADAM MANONDO mkazi wa Sakina auwawa kikatili huko Arusha jana jioni baada ya kufumaniwa akimla mke wa mtu kwenye gari. Mama huyo ni mke wa 
mmiliki wa baa moja maarufu jijini Arusha (jina kapuni kwa sasa) na gari walilokuwa wakitumia aina ya VOXY ni la mama huyo.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA