UPONYAJI SASA U MALANGONI MWAKO,WAKATI WAKO NI SASA



Kwamaraya kwanza kabisa, Tanzania katika jiji la Dar es Salaam kutakuwa na usiku wa kuabudu kwa utulivu kwa kutumia saxophone kutoka kwa Misericordias akishirikiana na Praise and Worship team ya Mbezi beach,kwaya Vijana kijitonyama na kwaya ya vijana Ubungo, ni ibdada iliyojaa muziki  Mtamu, taratiiiibu, unaofariji na kuponya na kumgusa Mungu na kumfanya ashuke ikiongozwa na Misericordias Anae. Usikose 


Mahali ni :  Mbezi beach KKKT 
Siku ni :        Ijumaa 10/4/15  kuanzia saa 2 usiku na kuendelea
Wengine ni:  Christina Shusho,John Lisu  Mirium Mauki,Upendo Kilairo Glorious Worship                                            team na Bombi Jonson                              .


KARIBU MKARIBISHE NA MWENZAKO HAKUNA                                      
                       KIINGILIO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa mawasiliano zaidi

Misericordias Anael 

Mitambosolution

143D Mbezi Beach  Area 

P.O.Box 78257  Dar es Salaam,

Tanzania, East Africa 

 Tell:+255 754 470787 

+255 78344499 

+255 715 470787

www.mitambosolution.com

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA