HONGERA BOSS WA TANURU LA FIKRA KUVUTA JIKO

Blog ya nyumbani inachukua fursa hii kumpongeza sana mtu wa watu Sambala Ole Comrade Mmiliki wa kundi maarufu katika mtandao wa Facebook lijulikanalo kama TANURU LA FIKRA lenye watu zidi ya 90,000 linalosaidia watu wengi tunasema tena hongera sana kwa kuamua kuachana na ukapera na kuvuta jiko, 

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA