MAMA MZAZI NA MWANAE WAJAZWA MIMBA NA MWANAUME MMOJA



Mwanaume mmoja aitwaye Vincente Malumane amewatandika mimba mama na mtoto wake na wote kujifungua mwezi mmoja, hii imetokea Afrika Kusini. Imeelezwa kuwa mama huyo aliyefamika kwa jina la Mildred Mashego, alichukizwa baada ya kuujua ukweli huo, japo anasema anamchukia Vincente kwa kumchanganya yeye na binti yake ila hana kinyongo chochote na mtoto wake na hivi sasa yeye na mwanae wanawalea watoto wao pamoja, hofu waliyonayo kwa sasa ni jinsi ambavyo watawaelezea watoto wao watakapokua wakubwa.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA