LULU AFIWA NA MPENZI WAKE LEO SIKU YA BIRTHDAY YAKE

INASIKITISHA SANA: Mwanadada LULU afiwa na mpenzi wake LEO siku ya birthday yake

Mwanadada Elizabeth Michael – LULU ambaye leo anatimiza miaka 20 ya kuzaliwa amepata piga jingine baada ya kufiwa na mpezi wake aliyefahamika kwa jina la Seki (Pichani) aliyekuwa akiishi jijini Mwanza.
Taarifa kamili juu ya sababu ya  kifo chake bado haijajulikana ila tutaendelea kuwajulisha pindi zitakapotufikia.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina.


Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA