RUNGU LA YESU KUACHIA VIDEO MPYA ''ILIKUWA ZAMANI'' SIKU YA VALENTINE



Baada ya kimya kingi kutanda toka kuachiwa kwa teaser ya video ya wimbo wa ''ilikuwa zamani'' wa Rapper Rungu la Yesu, Hatimaye director wa kichupa hicho ndugu Alex Joseck ameweka wazi kuwa kuwa itaachiwa rasmi siku ya Valentine.
Video hiyo yenye visa na mikasa ya mapenzi imetengenezwa chini ya kampuni ya Kingdom Intertainment Ambapo director Alex Joseck ndio muongozaji mkuu. gosplemusic.com ndiyo watakuwa wa kwanza kuirusha video hiyo.

Unaweza kuangali video teaser yake hapo chini





Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI