MREMA AGEUKA MBOGO KWA WANAODAI ANA UKIMWI, ASEMA HAFI MTU HAPA UBUNGE LAZIMA AGOMBEE.



Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP) ametoa shutuma zake bungeni Dodoma akimtuhumu mbunge James Mbatia kuwa amekuwa akimpakazia mambo mabaya kwa wapiga kura wa jimbo lake kuwa ana UKIMWI. 
Mrema amesema kuwa mbunge huyo amekuwa akipita jimboni kwake na kusema kuwa wasimchague mbunge huyo kwa kuwa ana UKIMWI na hana maisha marefu hapa duniani. 
Ametoa kauli hiyo bungeni Dodoma na kusema "Napenda kusema kuwa mimi ni mbunge halali wa Vunjo na Mbatia hatapata jimbo hilo, na natangaza kuwa nitagombea tena na hafi mtu hapa"

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI