MUUZA MISHIKAKI MAARUFU STENDI YA TEMEKE ALA KICHAPO KWA KUUZA MISHIKAKI YA PAKA




Muuuza mishikaki maarufu temeke standi ya mabasi aitwaye Said mishikaki amekamatwa  na nyama ya paka jana akiwa anaitengeneza kwa ajili ya Kuchoma Mishikaki..
 
Wananchi wenye hasira kali walimshushia kipigo cha mbwa kwa hasira za kulishwa nyama ya paka bila kujua.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI