CAPTAIN JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA




Mbunge wa Mbinga magharibi captain John Komba amefariki leo katika Hospitali ya TMJ Mikocheni jijini Dar es salaam Kwa Mujibu wa mtoto wa M arehem Bw. Jerry Komba amesema kifo cha baba yake kimetokana na ugonjwa wa kisukari ambapo alisema sukari ilishuka gafla akiwa nyumbani kwake Mbezi Beach jijini Dar.
 Mbunge huyo alikimbizwa katika Hospitli ya TMJ ambapo mauti yalimkuta . Marehemu amehamishiwa katika hospitali ya Lugalo ambapo Ratiba ya mazishi bado haijafahamika.
 Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi AMEN.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI