CHID BENZ APONEA CHUPU CHUPU MIAKA MIWILI JELA, ALIPA FAINI YA SH. 900,000

Chid Benz alikamatwa mwaka jana katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa na madawa hayo.
Mwanamuziki huyo ambaye alikiri kosa hilo wiki iliyopita, alikamatwa uwanjani hapo akiwa anajitayarisha kupanda ndege kwenda Mbeya kwenye tamasha la muziki.
Hata hivyo, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imemwachia huru mwanamuziki huyo baada ya kulipa faini ya 900,000/
Comments
Post a Comment