P SQUIRE WANA MIAKA NANE HAWAJAKANYAGA KANISANI

Peter na Paulo Okoye mara ya mwisho kwenda kanisani mwaka 2007,Sababu yakuacha kwenda kanisani huwa watu wanawashangaa wao nakuacha kusali.Wamesema ili kuwaacha watu waongee na mungu wao ikawabidi waache kwenda kanisani.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA