FLORA MBASHA AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE


Staa wa nyimbo za injili hapa Taznania maarufu kwa jina la Flora Mbasha ambaye siku za hivi karibuni alichafua kurasa za mbele za magazeti kufuatia mgogoro wake na mumewe, Emanuel Mbasha ambaye aliangukiwa na tuhuma ya ubakaji, this is an exclusive issue kutoka kwa msanii huyo ambeye kwa sasa yupo nyumbani kwao Mwanza.
Akibonga na mwandishi wetu Flora alifunguka haya kuhusiana na hatua waliyo fikia yeye na mumewe hususani katika sakata la mgogoro wao.
“Namshukuru Mungu maana pamoja na kupitia katika kipindi kigumu lakini still bado ananipigania kila siku mashabiki wangu walizidi kunisapoti katika kipindi kigumu cha maisha nilicho kuwanacho.
Pia matatizo hayo hayakunifanya mimi kushindwa kumtumikia Mungu kwa kuimba muziki wa injili kwani najua yeye ndiye aliyenipa hiki kipaji na si mwanadamu, na uonapo mti unapigwa mawe sana jua kuwa ndiyo wenye matund amazuri. 

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA