MH. SUGU AUDANGANYA UMMA, FAIZA AFUNGUKA
Faiza Ally afunguka mh Sugu ni mwongo hawajahi kutoa laki tano matumizi ya mtoto kila mwezi kama alivyodai bungeni.26 june mbunge huyo alidai amekua akilipia ada ya mtoto milioni tatu,televisheni ya katuni na matumizi madodogo madogo.Katika utetezi huo alimbibi hadi kutoa mchachozi hadharani baada ya mbunge Martha wa viti maalum kumshutumu ana nyanyasa wanawake.
chanzo nipashe june 28.
Comments
Post a Comment