BREAKING NEWS:MUFTI MKUU WA TANZANIA SHEIKH ISSA SHAABAN BIN SIMBA AFARIKI DUNIA
Habari zinasema Mufti amefariki leo katika Hospitali ya TMJ jijini Dar es salaam.

Taarifa zilizotolewa zinasema kuwa Mufti alikuwa anasumbuliwa na matatizo ya sukari kwa muda mrefu

Taarifa zilizotolewa zinasema kuwa Mufti alikuwa anasumbuliwa na matatizo ya sukari kwa muda mrefu
Comments
Post a Comment