HOUSE GIRL ALIYEMPIGA MTOTO UGANDA AHUKUMIWA MIAKA MINNE JELA


     
                Jolly Tumuhiirwe

Mahakama nchini Uganda imetoa hukumu ya miaka minne jela kwa mfanyakazi wa ndani, Jolly Tumuhiirwe, aliyepatikana na hatia ya kumtesa na kumpiga motto wa miezi 18.
Tumuhiirwe, 22, alionekana kwenye video iliyosambaa mtandaoni akimpiga bila huruma mtoto huyo aitwaye Aneela.
Msichana huyo aliwaomba radhi wazazi wa mtoto huyo na umma kwa ujumla na kudai kuwa hakujua nini kilimtokea hadi kutenda unyama huo.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI