ABIRIA 50 WANUSURIKA KUFA KATIKA AJALI MBEYA




Basi la Mbukio Missio muda mfupi baada ya kupata ajali eneo la Mlima Nyoka mkoani Mbeya leo.

Lori la mafuta lenye namba za usajili T 332 AGA ambalo dereva wake Godfrey Lyimo (33) alijeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali kwa matibabu zaidi. Pichani lori hilo la mafuta liliwa…


Basi la Mbukio Missio muda mfupi baada ya kupata ajali eneo la Mlima Nyoka mkoani Mbeya leo.


Lori la mafuta lenye namba za usajili T 332 AGA ambalo dereva wake Godfrey Lyimo (33)
 alijeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali kwa matibabu zaidi. Pichani lori hilo la mafuta liliwa 
limepinduka.





                 Wananchi wakiwa eneo la ajali.






                      Taswira kutoka eneo hilo la ajali.

(PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG)




Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI