SHIBUDA AIANDIKIA BARUA KAMATI KUU YA CHADEMA KUOMBA KUKOMA UANACHAMA
Mbunge John Shibuda ameiandikia Kamati Kuu CHADEMA kuomba kukoma uanachama
wake ndani Chama hicho baada ya Bunge kuvunjwa wiki hii.
-Kwa muda mrefu Mbunge John Shibuda amekuwa na mgogoro wa kimyakimya na Chama Chake.
Kamatikuu ya Chama imeridhia na kumtakia safari njema,na mafanikio mema huko aendako.
( Tunamshukuru kwa kutumia angalau busara, anaelewa nini maana ya siasa )
Comments
Post a Comment