MRAMBA, YONA MIAKA MITATU JELA NA FAINI MIL 5 KILA MTU



Name:  basil-yona.jpg
Views: 0
Size:  38.8 KB


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kwenda jela miaka mitatu waliowahi kuwa mawaziri ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni 
Basil Mramba aliyekuwa waziri wa Fedha na Daniel Yona aliyekuwa waziri wa Nishati na Madini kwa kuisababishia serikali hasara ya shilingi bilioni 11.7

Hata hivyo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha,Gray Mgonjwa ameachiwa huru baada ya kukutwa hana hatia.

Chanzo: ITV & Radio One.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA