MUGABE: NITAMCHUMBIA OBAMA



                            Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amekamata vichwa vya habari baada ya kumsakama rais wa Marekani Barack Obama kufuatia uamuzi wa Mahakama kuu kuhalalisha ndoa za jinsia moja nchini Marekani wiki iliyopita, Mugabe ameahidi kusafiri hadi Washington na kumuomba mkono akubali amuoe.
Kufuatia uamuzi huo wa mahakama kuu, uamuzi ambao ulipongezwa na nchi za magharibi, rais huyo mwenye umri wa miaka 91, anajulikana kwa kupinga vikali ushoga, alisema atapiga magoti na kumuomba Obama mkono kabla hajalaani usawa wa ndoa.
Mugabe alitoa maoni hayo wakati akifanya mahojiano ya wiki na redio ya taifa ya nchi hiyo, ZBC Jumamosi iliyopita.
“Nimehitimisha toka rais Obama aliporuhusu ndoa za jinsia moja, na kutetea watu amashoga na kufurahia uvutiwaji huo na kuruhusu hilo kama imekuwa ni muhimu” nitasafiri kwenda Washington DC, nakupiga magoti na kumuomba mkono wake” alisema Mugabe.
“Siwezi kuelewa jinsi hawa watu wanathubutu kushindana na miongozi ya Yesu, Bwana wetu alikataza mambo kama haya ni sodomy” aliongeza Mugabe.
Katika mbio za kampeni 2013, Mugabe alilaani Obama kwa kulazimisha ushoga kwenye bara “Tuane huyu rais wa Marekani Obama, aliyezaliwa na baba wa Kiafrika, amabye anasema hatutakupa misaada kama hamtakubali ushoga, tunauliza alizaliwa na shoga?
Ushoga haukubaliki Zimbabwe na katika hotuba zake zilizopita, Mugabe aliwaambia mashoga waende motoni na alisema wale ambao wanajihusisha na ushoga wako chini zaidi ya nguruwe, mbuzi na ndege.
“Tuwaache Ulaya waendele na ushoga wao wa kipuuzi huko na waishi nao, hatutaruhusu hapa, sheria ya ushoga sio ya utu,” alisema Julai 2013 akihutubia wananchama wa Zanu PF. “Mwanadiplomasi yeyote anaeongelea ushoga atafukuzwa, hakuna msamaha na hatuwasikiliza”
Wapi tena kwenye bara la Afrika, majirani wa Zimbabwe, Msumbiji, sehemu ndogo ya sheria ya wakoloni ya mwaka 1886 ambayo ilitaja ushoga nikosa, ikaletwa sheria ya penati ambayo ilitambua utoaji mimba.
Sheria halisi ya mwanzo ilimlenga yeyote ambae alihusisha na kwenda kinyume na nature na ulipewa adhabu ya miaka mitatu ya kazi ngumu. Wanaharakati wanaopigani haki za mashoga waliita uamuzi huo kama dalili za ushindi kwa haki za mashoga Afrika.
Source: Newsweek.com

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI