Popular posts from this blog
JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA
NA MWALIMU PRISCA MWANG'OMBOLA Nguvu za Mungu hukaa kwa mtu anaye fanya maombi, huwezi kukaa na nguvu za Mungu kama wewe sio muombaji maana ndio silaha kubwa ya kuweza kuzishinda hila za mwovu, kwa maana vita yetu haipo katika nyama na damu ipo katika roho na falme za wakuu wa giza. Unapokuwa na nguvu za Mungu unakuwa na unakuwa na faida zifuatazo 1. Unakuwa na uwezo wa kushinda nguvu za giza Nguvu za Mungu zinatupa kushinda nguvu zote za giza, hivyo ni vyema kuhakikisha unatembea na nguvu za Mungu na kujilinda na Mambo yote yanayosababisha nguvu za Mungu kupungua au kuisha kabisa. (EFESO 6:10-13 10 Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. 11 Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. 12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. 13 Kwa saba
MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI
NA FADHILI PAULO Asali ni tiba karibu kwa kila ugonjwa. Matumizi ya asali kama tiba kwa magonjwa mbalimbali ni kitu ambacho kinafaham ika kwa karne nyingi zilizopita duniani kote. Vitabu vingi vya zamani vimeandika namna watu walivyotibiwa magonjwa mbalimbali kutokana na asali. Sasa hivi kuna makala nyingi zilizo andikwa zikielezea kuhusu uwezo wa asali katika tiba ya magonjwa mbalimbali.Warusi na Wafaransa wanafahamika sana katika kufanya utafiti katika maabara kuhusu uwezo wa asali katika tiba mbalimbali. Katika makala hii tutaangalia tiba ya asali na mdalasini na namna ya kuitumia kutibu maradhi mbalimbali (asali tunayoizungumzia hapa ni asali safi yaani asali mbichi ya nyuki wakubwa na wadogo). YAFUATAYO NI BAADHI YA MARADHI YANAYOTIBI
Comments
Post a Comment