SLAA AITWA POLISI KUTOA MAELEZO KUHUSIANA NA NJAMA ZA KUTAKA KUUAWA NA MLINZI WAKE



Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa ameitwa Kituo kikuu cha Police na atawasili central police saa 4 kamili asubuhi kutoa maelezo yake kuhusiana na njama za kutaka kuuawa na mlinzi wake.

Tayari hapa polisi kuna umati mkubwa wa waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi kumsubiri mwanasiasa huyo tishio kwa ukanda wa Afrika Mashariki.

Tayari kuna manung'uniko makubwa kutoka kwa wananchi kuhusu kuachiliwa huru kwa mlinzi huyo aliyekula njama kumuua Katibu Mkuu huyo na jana inadaiwa aliandaliwa mkutano na waandishi wa habari ili kujisafisha na kubadili upepo.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA