CONDOMS ZATUMIKA KAMA FASHENI YA NYWELE NCHINI GHANA.



Kumekuwa na mitindo mingi kama vile nywele viatu nk. Mama mmoja Raia wa Ghana ametoa mpya baada ya nywele zake kuzibana na Condom kama deadlock sipati picha kama ingekuwa huyu mama ni Mtanzania sijui ingekuwaje.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA