MAJONZI YATAWALA HOSPITALI YA MAFINGA BAADA YA MAITI KUWASILI HOSPITALINI HAPO


Simanzi imetawala katika Hospitali ya Wilaya ya mafinga wakati maiti zilizopatikana katika ajali mbaya iliyotokea mapema leo asubuhi eneo la Changarawe Wilayani Mafinga Mkoa wa Iringa zilipowasili.Zaidi ya watu 45 wamepoteza Maisha katika ajali hiyo iliyohusisha Roli la Mizigo na Basi la Abiria la kampuni ya Majinja lililokuwa likitokea Mkoani Mbeya kuelekea Jijini Dar es salaam.





Watu waliotenganisha magari Hayo wakiangalia kama kuna miili iliyosalia










Kontena likiwa pembeni baada ya kuondolewa kwenye Basi hilo

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA