UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID ULIVYONOGA KUSUBIRI LOWASA KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS
Muonekano wa uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Baadhi ya wananchi katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
Leo Mbunge wa Monduli Edward Lowassa atatangaza nia ya kugombea Urais katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.Maandalizi mbalimbali yanaendelea huku ilinzi ukiimarishwa kila kona.
Mamia ya wananchi wanaendelea kuingia katika uwanja huu kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania ikiwemo Dares salaam,Arusha,Dodoma,Kagera,Mwanza na Mbeya
Kila mtu katika uwanja pamoja na Watanzania wana shauku ya kutaka kufahamu Edward Lowassa atasema nini kuelekea katika uchaguzi wa Rais utakaofanyika wiki ya mwisho ya mwezi oktoba mwaka huu 2015.
Comments
Post a Comment