AAMBUKIZA UKIMWI WANAFUNZI 712 WA VYUO VIKUU.!



 Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Rogers (pichani) raia wa Uganda amekiri kufanya ngono na wanafunzi 712 wa vyuo vikuu mbalimbali nchini Tanzania na Uganda na kuwaambukiza virusi vya UKIMWI kwa kipindi cha miaka mitatu.

Rogers amesema alipogundua ana maambukizi ya HIV mwaka 2012 aliamua kulipiza kisasi kwa kuambukiza wasichana wengi kadri iwezekanavyo. Hadi kufikia mwaka huu alikwisha ambukiza wasichana 712 wote wakiwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kutoka Tanzania na Uganda.

Vyuo vya Tanzania ambavyo Rogers anadai kutembea na wanafunzi wake ni CBE(7) Dar, IFM(10), USTAWI(10), UDSM(35)na TIA(4) Pia amedai kuwa kati ya wasichana wote 712 aliotembea nao hakuna yeyote aliyemrudia mara mbili wala kutumia condom. "Sikuhitaji kumrudia mtu mara mbili maana ni kupoteza muda. Nilijitahidi kadri niwezavyo kuwapata wengi ili kutimiza azma yangu ya kuambukiza mamia ya wanafunzi." alisema Rogers.

Mmoja kati ya wasichana ambao Rogers ametembea nao na kumuambukiza virusi vya UKIMWI ni mtoto wa mwanasiasa maarufu nchini Uganda Mhe.Frank Gashumba.

Katika kudhibitisha madai yake, Rogers amesambaza picha za wasichana mbalimbali wa Tanzania na Uganda akifanya nao ngono tena bila ya kutumia kinga. Katika hali ya kushangaza wasichana wote wanaonekana kukubali kupigwa picha kwani hawana wasiwasi na wanaonekana kufurahia. "Furaha yangu ilikuwa ni kuona naambukiza wanafunzi wengi kwani naamini niliupata kwao, ilikuwa ni hasira na sijutii nilichokifanya kwa kuwa sina cha kupoteza. Najua nitakufa tu" alisema.

USHAURI WANGU:
Usikubali bila kinga kina Rodgers wapo wengi ni huyu tu kaamua kusema wengine hawasemi HASWA NYIE WASICHANA WAPENDA 'KITONGA'... WAJULISHE NA WENGINE




Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA