TAHADHARI PICHA ZA KUTISHA; MADHARA YA NGUO ZA NDANI ZA MITUMBA




Ni hivi karibuni Serikali kupitia mamlaka zake zinazohusika na Maswala haya ya nguo za mitumba ilipiga marufuku huuzwaji wa Brazia,Nguo za Ndani za mitumba kuuzwa kwa wananchi kwa sababu zinaelezwa si salama kwa asilimia mia moja,na misako mbalimbali ilifanyika kwenye maeneo maarufu kwa kuuza aina hiyo ya Nguo lakini baadhi ya wananchi ama kwa kudharau matamko yanayotolewa na Serikali pamoja na wahuzaji waliendelea kufanya biashara hiyo kwa hiyo ni wito wetu kwenu mwambia Dada,Mpenzi wako,Shangazi,Rafiki yako na mtu yeyote yule kuwa Nguo hizi za Mtumba Brazia,Nguo za ndani hazifahi na haya ndio madhara yake ukipenda .






PIGA VITA UTUMIAJI HUU WA BRAZIA,NGUO ZA NDANI ZA MITUMBA SIO NZURI!

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA