TABIA YA WATU WANAOPENDA SELFIE
Kuna utafiti uliofanywa na Ohio State University Marekani, unahusu masuala ya athari zinazoweza kusababishwa na watu kupendelea kupiga Selfie na kupost kwenye mitandao kama Istagram.
Jumla ya watu waliofanyiwa utafiti huo walikuwa 800, umri wao ulikuwa kati ya miaka 18 na 40.
Matokeo yanaonyesha kuwa watu wanaopenda kujipiga Selfie wakiwa peke yao wanakuwa na tabia ya ubinafsi na hawapendi kujichanganya na watu wengine.
Tabia hiyo inaonenaka ‘imekomaa’ zaidi kwa wale wanaopenda kuedit Selfie zao kabla hawajapost kwenye mitandao
Comments
Post a Comment