Popular posts from this blog
JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA
NA MWALIMU PRISCA MWANG'OMBOLA Nguvu za Mungu hukaa kwa mtu anaye fanya maombi, huwezi kukaa na nguvu za Mungu kama wewe sio muombaji maana ndio silaha kubwa ya kuweza kuzishinda hila za mwovu, kwa maana vita yetu haipo katika nyama na damu ipo katika roho na falme za wakuu wa giza. Unapokuwa na nguvu za Mungu unakuwa na unakuwa na faida zifuatazo 1. Unakuwa na uwezo wa kushinda nguvu za giza Nguvu za Mungu zinatupa kushinda nguvu zote za giza, hivyo ni vyema kuhakikisha unatembea na nguvu za Mungu na kujilinda na Mambo yote yanayosababisha nguvu za Mungu kupungua au kuisha kabisa. (EFESO 6:10-13 10 Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. 11 Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. 12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu w...
Comments
Post a Comment