BABA AJIUA KWA KUONA PICHA ZA UTUPU ZA BINTI YAKE
- Get link
- X
- Other Apps
Loredana Chivu anayeishialiamua kuweka picha hizo akiwa amepiga katika staili tofauti katika mitandao mbalimbali ya kijamii ambapo baba yake baada ya kuziona alimkana mwanaye huyo.
Kwa mujibu wa mtandao wa The Mirror, msichana huyo akisimulia kwa machungu baada ya kifo cha baba yake alisema hakutegemea kama ipo siku baba yake angekasirika kiasi cha kujitoa uhai.
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment