BAADA YA MASIMANGO YA KUCHELEWA KUOLEWA, AAMUA KUKATIZA NA SHELA MITAANI
- Get link
- X
- Other Apps
Samah Hamdi mwenye miaka 27 alifikia uamuzi huo baada ya kuchoshwa na kashfa kutoka kwa watu wanaomzunguka ikiwemo familia yake hasa mama yake mzazi ambao wamekua wakimsema kutokana na kutokua na mume mpaka sasa.
Samah Hamdi akiwa anatafakari jambo huku akiwa amevaa gauni lake la harusi katika moja ya mitaa jijini Cairo
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment