TANZIA: WAZIRI WA ELIMU WA ZAMANI JOSEPH MUNGAI AFARIKI DUNIA

                munagi 0.JPG

 Joseph Mungai Aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu na Mbunge wa Mufindi, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
  Aidha mwanasiasa huyo mkongwe nchini alikihama chama chake cha CCM na kujiunga na chama cha siasa cha CHADEMA katika harakati za uchaguzi mkuu mwaka 2015.
Joseph James Mungai alizaliwa tarehe 24 Oktoba 1943

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI