TANZIA:ALIYEGUNDUA BARUA PEPE (E MAIL) AFARIKI DUNIA

Ray Tomlinson, raia wa Marekani, ambaye ndiye aliyevumbua utumaji wa barua pepe (e-mail) amefariki dunia.Tomlinson amefariki akiwa na umri wa miaka 74.Mgunduzi huyu aliibuka na wazo la kutuma ujumbe wa kieletroniki kutoka mtu mmoja hadi mwingine kupitia mitandao mbali mbali mwaka 1971.Aliandika ujumbe wa kwanza wa barua pepe wakati akifanya kazi Boston, kama Mhandisi wa kompyuta.Pia alikuwa mwanzilishi wa matumizi ya alama "at"(@)kuwa ndio alama kuu ya utumaji wa barua pepe.Wakati wa uhai wake Tomlinson alisema hawezi kukumbuka barua pepe yake ya kwanza ilielezea nini.

          Raymond Tomlinson, widely credited as the inventor of modern email, died Saturday.Raytheon Co, his employer, on Sunday confirmed his death.Email existed in a limited capacity before Tomlinson in that electronic messages could be shared amid multiple people within a limited framework. But until his invention in 1971 of the first network person-to-person email there was no way to send something to a specific person at a specific address.Tomlinson chose the “@” (”at”) symbol to connect the username with the destination address and it has now become a cultural icon."It is with great sadness we acknowledge the passing of our colleague and friend, Ray Tomlinson. A true technology pioneer, Ray was the man who brought us email in the early days of networked computers.," Raytheon said in a statement. "His work changed the way the world communicates and yet, for all his accomplishments, he remained humble, kind and generous with his time and talents.

     He will be missed by one and all."While he was a holder of numerous awards and other accolades, co-workers say he was modest. And, surprisingly, not a frequent checker of email.According to a biography on the Internet Hall of Fame, Tomlinson was born in Amsterdam, New York in 1941. He attended college at the Rensselaer Polytechnic Institute, where he participated in an internship program with IBM and received a degree in electrical engineering in 1963. He later earned a S.M. in electrical engineering from the Massachusetts Institute of Technology.Tomlinson.

        Nadhan wengi tuna itumia huduma hii (IT Mtakua mnamfahamu zaid).Email inventor and selector of @ symbols (Ndiye mvumbuzi na mbunifu wa matumizi ya alama @ kwe anuani.




Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA