TAZAMA VIDEO HAPA HOJA YA BUNGE KUTORUSHWA LIVE MH. ZITTO AWASHA MOTO





Hatimaye Mh Andrew Chenge mwenyekiti wa bunge amelazimika kuahirisha bunge kutokana na vurugu zilizotokea baada ya wabunge kupinga hoja ya Mh Nape Nnauye waziri wa habari aliyotoa kuhusu TBC kutoonyesha vipindi vya bunge live kutokana na kubana matumizi katika kupunguza gharama za kuendesha chombo hicho, hoja ya kumpinga Mh waziri ilitolewa na Mh zitto kabwe na kuungwa mkono na wabunge wote wa upinzani wakitaka lazima bunge lirushwe live na TBC. Kikao kimeahirishwa kwa saa 1 na sasa kamati ya uongozi imeenda kufanya kikao cha dharura.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI