Posts

Showing posts from January, 2016

JIFUNZE KUTENGENEZA BIDHAA ZA VIWANDANI ONLINE, MILIKI KIWANDA

Image
Je ulipitwa na mafuzo haya kipindi kile yalipovuma? Je umechoka kuishi maisha ya kukopa kopa kwa sababu mshahara haukutoshi? Je ungependa na wewe siku moja uitwe BOSS kwa kuajiri wengine na kuwalipa mshahara? Je wewe ni kijana umemaliza kidato cha Nne / Sita / Chuo na upo tu nyumbani bado hujajua cha kufanya? usibweteke ujuzi hauzeeki  jifunze jinsi ya kutengeneza bidhaa za Viwandani na uweze kumiliki kiwanda chako hata nyumbani kwa gharama ndogo za uendeshaji huku  ukianza na mtaji usioweza hata kununua suruali ambao utakupelekea kuwa Milionea. Kwa Ada ya Tsh. 3,000/=  tu kwa kila somo moja unabadilisha historia ya maisha yako.  Masomo yapo 10 unaweza kujifunza yote ukipenda. Dada ili urembo wako ukamilike ni lazima umiliki uchumi na Kaka ili utanashati ukamilike ni lazima umiliki uchumi. Usichelewe, jisajili sasa. Jinsi ya kujisajili : Lipia ADA ya kila somo moja ni Tsh. 3,000/=. Unalipa kwenda Tigo Pesa +255 716 000 430 au M-Pesa +255 758 873 895. Ukishat...

TAZAMA VIDEO HAPA HOJA YA BUNGE KUTORUSHWA LIVE MH. ZITTO AWASHA MOTO

Image
Hatimaye Mh Andrew Chenge mwenyekiti wa bunge amelazimika kuahirisha bunge kutokana na vurugu zilizotokea baada ya wabunge kupinga hoja ya Mh Nape Nnauye waziri wa habari aliyotoa kuhusu TBC kutoonyesha vipindi vya bunge live kutokana na kubana matumizi katika kupunguza gharama za kuendesha chombo hicho, hoja ya kumpinga Mh waziri ilitolewa na Mh zitto kabwe na kuungwa mkono na wabunge wote wa upinzani wakitaka lazima bunge lirushwe live na TBC. Kikao kimeahirishwa kwa saa 1 na sasa kamati ya uongozi imeenda kufanya kikao cha dharura.

MAKAMANDA WA YESU

My name is Martin Peter Marwa Shaboka also known as Mtume Kijana Bashando. I have a dream of doing great things for my country especially in reaching out to the OUTCAST and DISABLED society. I know the pain of lacking shelter, lacking education, clothes, starving and being mistreated. I believe I went through all these to get a lesson in order that I may rescue all who are experiencing such trauma and be a reason for them to enjoy well being as Tanzanians. I strongly believe in this as I desire to make it possible.  I have managed to organize a group named Makamanda wa Yesu through which we have reached out to a certain number of people and extended aid to them and touched their lives, an act which blesses my heart every single day adding up to my faith thay God is with me. Kingly Gospel, we preach via deeds, you touch others lives and let God deal with your own life. I believe what most people expect to receive through politicians and leaders soon the Almighty will surprise th...