BASI LA MWENDO KASI LAGONGA NA KUUA MTOTO



Basi la mwendo kasi ( DART)  limemgonga na kumuua mtoto huku mama yake akinusurika baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kushindwa kulipita basi hilo

Ajali hiyo imetoke leo katika  eneo la Shekilango jijini Dar es Sallam.

                             Pikipiki iliyohusika kwenye ajali hiyo


Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA

MAGONJWA 27 YANAYOTIBIWA NA ASALI YENYE MDALASINI