ITIKA TRUCKING & MARINE GENERAL AGENCIES , Ni wakala wa usafirishaji mizigo Majini na nchi kavu, ni kampuni iliyosajiliwa kwa namba 291225 tarehe 11 November 2014 pia inajishughulisha na kazi za umwagaji vifusi barabarani, hivyo basi iwapo unakazi yoyote iwe ya kutoa makontena Bandarini, kusafirisha mzigo wowote, kusafirisha mzigo nje ya nchi na hata nje ya Bara la Africa kwa njia ya meli na ujenzi wa barabara na kazi zote zinazohitaji gari kuanzia tano usisite kuwasiliana nasi tutahakikisha kazi yako inaisha vizuri na mzigo wako unafika salama. Pia hata wewe mwananchi unakaribishwa kufanya kazi pamoja nasisi pindi usikiapo kuna kazi yoyote mahala popote unakaribishwa. Usafirishaji Mizigo kwa njia meli ...