DHAMBI 7 AMBAZO HUTAKIWI KUMFANYIA MWANAMKE...


1. Usimpige
2. Usimpe maneno ya kumnyanyasa
3. Usimfanye aone kudharauliwa
4. Usimfanye aone hapendwi
5. Usimbake
6. Usimdanganye na kuwa na wanawake wengine
7. Usiichukie au kutoipenda lugha yake ya
mapenzi.
Mpe utofauti atakupa upendo
Mpe tabasamu atakupa furaha
Mpe moyo wako atakupa maisha yake
Mpe nyumba atakupa familia bora
Mpe wazo lako atakupa mpango wa kutimiza
wazo lako.
Mfanye malkia atakufanya mfalme
Mpe mapenzi naye atakuwa wako tu
Ila mdanganye na utaona jinsi atakapoyafanya
maisha yako kuwa magumu zaidi ya jehanamu
hapa duniani
Kama unamjali utashare katika wall yake na
kuandika hapa chini ur my soulmate
Like & share kama wakubaliana

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA