Posts
Showing posts from August, 2014
DHAMBI 7 AMBAZO HUTAKIWI KUMFANYIA MWANAMKE...
- Get link
- X
- Other Apps
1. Usimpige 2. Usimpe maneno ya kumnyanyasa 3. Usimfanye aone kudharauliwa 4. Usimfanye aone hapendwi 5. Usimbake 6. Usimdanganye na kuwa na wanawake wengine 7. Usiichukie au kutoipenda lugha yake ya mapenzi. Mpe utofauti atakupa upendo Mpe tabasamu atakupa furaha Mpe moyo wako atakupa maisha yake Mpe nyumba atakupa familia bora Mpe wazo lako atakupa mpango wa kutimiza wazo lako. Mfanye malkia atakufanya mfalme Mpe mapenzi naye atakuwa wako tu Ila mdanganye na utaona jinsi atakapoyafanya maisha yako kuwa magumu zaidi ya jehanamu hapa duniani Kama unamjali utashare katika wall yake na kuandika hapa chini ur my soulmate Like & share kama wakubaliana
Akaa na mke kwa miaka saba bila kujaliwa mtoto na hajachepuka
- Get link
- X
- Other Apps
Salome alibahatika kuzaliwa katika familia ya watoto wanne ambao kati ya hao watoto wanne kulikuwa na kijana mmoja tu wakiume aliatwaye Dan. Watoto wote watatu wakike waliolewa na kwenda kuishi na waume zao wakimwacha dan akiwa anaishi na mama yao kwani bado alikuwa akiendelea na masomo yao. Mama yao aliwakuza watoto hao baada ya baba yao kufariki wakiwa na umri mdogo na kwa kuwa baba alikuwa mfanyabiashara aliyefanikiwa basi maisha hayakuwa magumu kwao. Maisha ya familia hii yaliendelea kuwa mazuri hata baada ya watoto wa kike kuolewa na familia zinazojiweza na kuishi kwa kufuata ndoto zao. Mambo yakaanza kuwa magumu kwa binti wa wa pili ambaye alikuwa kakaa katika ndoa yake kwa miaka miwili bila dalili za kuleta matumaini kuwa angepata ujauzito. Kutokana na hali hiyo kukawa hakuna amani tena katika familia yake hali ambayo ikawa inabadilila kila siku kutoka hatua moja nafuu kwenda mbaya zaidi. Akiwa ameripoti hali hiyo ya huzuni kwa mama yake na ni zaidi ya mwaka mmoja sa...