NJEMBA HII IMEIBA KITIMOTO NA KUIFICHA KWENYE SEHEMU ZA SIRI, ACHAGUA ADHABU YA KUSAMBAZWA MITANDAONI



Jamaa huyu kakamatwa anaiba kitimoto kaficha sehemu zake za siri, mwenye Baa akamwambia achague moja, kupigwa kipigo cha mbwa mwizi au apigwe picha zisambazwe kwenye mtandao, jamaa akaona isiwe taabu, akachagua apigwe picha zisambazwe, ndiyo hiki kinachofanyika.

Comments

Popular posts from this blog

KINGUNGE AENDELEA KUMLILIA LOWASSA, ASEMA SIO FISADI KAMA ANAVYOSEMWA

MKOA WENYE WATU WAFUPI ZAIDI TANZANIA