Posts

Showing posts from February, 2016

USILOLIJUA KUHUSU ITIKA TRUCKING & MARINE GENERAL AGENCIES

Image
        ITIKA TRUCKING & MARINE GENERAL AGENCIES , Ni wakala wa usafirishaji mizigo Majini na nchi kavu, ni kampuni iliyosajiliwa kwa namba  291225  tarehe 11 November 2014  pia inajishughulisha na kazi za umwagaji vifusi barabarani, hivyo basi iwapo unakazi yoyote iwe ya kutoa makontena Bandarini, kusafirisha mzigo wowote,  kusafirisha mzigo nje ya nchi na hata nje ya Bara la Africa  kwa njia ya meli na ujenzi wa barabara na kazi zote zinazohitaji gari kuanzia tano usisite kuwasiliana nasi tutahakikisha kazi yako inaisha vizuri na mzigo wako unafika salama. Pia hata wewe mwananchi unakaribishwa kufanya kazi pamoja nasisi pindi usikiapo kuna kazi yoyote mahala popote unakaribishwa.                                   Usafirishaji Mizigo kwa njia meli                  Usafirishaji mizigo ya aina zote ...

JIFUNZE KUTENGENEZA BIDHAA VIWANDANI ONLINE MILIKI KIWANDA

Image
JIFUNZE KUTENGENEZA BIDHAA ZA VIWANDANI ONLINE, MILIKI KIWANDA Bado watu wanaendelea kujisajili na huenda muda uliopangwa ukarudishwa nyuma kutokana na idadi ya awamu ya kwanza ilipangwa kukaribia kutimia mwanzoni tarehe iliyopangwa ilikuwa 15/02/ Usichelewe, jisajili sasa. Jinsi ya kujisajili : Lipia ADA ya kila somo moja ni Tsh. 3,000/=. Unalipa kwenda Tigo Pesa +255 716 000 430 au M-Pesa +255 758 873 895. Ukishatuma hiyo pesa, tuma meseji yenye majina uliyo tumia kwenye kutuma pesa ikifuatiwa na namba unayo tumia WhatsApp utaunganishwa moja kwa moja kwenye group letu linaloitwa DREAM MAKERS. na kisha hapo utachagua somo ulipendalo na hata ukitaka kujifunza yote pia unakaribishwa. Masomo yatakayo fundishwa ni: 1) Dawa ya kusafishia Vigae (TILES CLEANER) 2) Dawa ya kusafishia Vioo (WINDOW CLEANER) 3) Dawa ya kusafishia Kapeti (CARPET CLEANER) 4) Dawa ya kuondoa uchafu sugu (STAIN REMOVER) 5) Sabuni ya Unga (DETERGENT POWDER) 6) Sabuni ya Mche (LAUNDRY SOAP) 7) SHAMPO...