PICHA ZA AJALI YA ARUSHA ILIYOUWA WATU 12 JANA
Watu wakishuhudia ajali hiyo
Baadhi ya abiria waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.
Waokoaji wakipandisha miili ya abiria waliopoteza maisha kwenye ajali.
Ajali hiyo imetokea maeneo ya Denishi Barabara ya Moshi Arusha ambapo katika Ajali hiyo Gari aina ya Toyota Hiece imegongana na roli la mafuta ambapo watu tisa walipoteza maisha papo hapo.
Comments
Post a Comment