AJALI YATOKEA AFRIKANA MBUYUNI DARA

Gari  aina ya Allteza imepata ajali hapa Africana karibu na Mbuyuni,  imewaka moto na inasemekana hakuna mtu aliyetoka kwani lilijikita kwenye mtaro na kulipuka! Katika ajali hiyo imedaiwa kuwa ndani ya gari hilo dogo kulikuwa na watu watatu ambao wameungua na kuwa majivu!

Comments

Popular posts from this blog

KINGUNGE AENDELEA KUMLILIA LOWASSA, ASEMA SIO FISADI KAMA ANAVYOSEMWA

MKOA WENYE WATU WAFUPI ZAIDI TANZANIA