AFARIKI AKIJARIBU KUWARUSHIA BOMU WENZAKE
Kuna taarifa kuwa mtu mmoja amekufa wakati akijaribu kuwarushia wenzake bomu ambalo limemlipukia mwenyewe, leo usiku huko Mazengo, Songea.
Chanzo cha kuwarushia bomu wenzake bado kujulikana, Uchunguzi bado unafanywa.
Chanzo cha kuwarushia bomu wenzake bado kujulikana, Uchunguzi bado unafanywa.
Comments
Post a Comment