TRAFIKI ALIYEGONGWA NA DALADALA AFARIKI DUNIA LEO

       Askari wa usalama barabarani aliyejulikana kwa jina moja tu la Riziki WP 2806 aliyegongwa na daladala wakati akiwa kazini maeneo ya Mbagala rangi tatu amefariki dunia leo, mpaka mauti inamkuta marehemu alikuwa akitibiwa katika hospitali ya Muhimbili.

Comments

Popular posts from this blog

KINGUNGE AENDELEA KUMLILIA LOWASSA, ASEMA SIO FISADI KAMA ANAVYOSEMWA