RAISI WA BONGO MOVIE ATANGAZA KUJIUZULI

      




            Raisi wa Baongo movi Steve Mengere ''Steve Nyerere''  ametangaza kujiuzulu cheo hicho kupitia ukurasa wake wa instagram kwa madai ya kuwa kuna mpango mbaya dhidi yake hivyo akaona ajiengue pasipo kufafanua zaidi.



         
                                        Steve Mengere  ''Steve Nyerere''

Comments

Popular posts from this blog

KINGUNGE AENDELEA KUMLILIA LOWASSA, ASEMA SIO FISADI KAMA ANAVYOSEMWA

MKOA WENYE WATU WAFUPI ZAIDI TANZANIA