HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE.-MAJARIBIO BLOG YA NYUMBANI

MSIKITI WA MTAMBANI UNATEKETEA KWA MOTO MUDA HUU



   Msikiti wa mtambani unaungua muda huu, hii ni mara ya pili ambapo msikiti huo uliungua Agosti 13 mwaka huu. kwa habari zaidi tutazidi kukujuza.

Comments

Popular posts from this blog

MIKOA INAYOONGOZA KWA UCHAWI TANZANIA