KIONGERA- NIMEMZIDI JAJA MBALI SANA

                                                           KIONGERA

         Mshambuliaji ,pya wa Simba Mkenya Raphaeli Kiongera amesema anakasirishwa na kitendo cha mashabiki wa Yanga kusema kuwa Jaja ni bora kuliko yeye na Emmuel Okwi raia wa Uganda hasa baada ya kufunga mabao mawili Yanga ilipofunga Azam mabao 3-0 kwenye mchezo wa ngao ya jamii.

Comments